Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

Di (autore) Hashil Seif Hashil
ISBN: 9791092789072
Casa editrice: Lulu Press
Spedire a
*
*
Metodo di spedizione
Nome
Consegna stimata
Prezzo
Nessuna opzione di spedizione
increase decrease

Consegna gratuita oltre i 25€

HASHIL Seif Hashil alizaliwa kwenye ngarawa katika maji ya bahari ya Pemba Januari 12, 1938. Alisoma skuli ya msingi ya Mkwajuni na baadaye katika iliyokuwa Seyyid Khalifa Secondary Technical School, Beit-el-Ras, Unguja. Alikuwa ni mmoja wa vijana wafuasi wa Abdulrahman Babu waliopelekwa Cuba kwa mafunzo ya kijeshi kabla ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964.? Baada ya Mapinduzi alipelekwa Indonesia kusomea sayansi ya ubaharia kwa miaka miwili na pia alipelekwa China kusomea uanamaji.Hashil Zanzibar alifanya kazi mbalimbali aliwahi kuwa afisa wa tatu katika meli za MV Africa na MV Jamhuri.? Alipouliwa Rais wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume 1972, Hashil alikamatwa na kuwekwa jela ya Ukonga, Dar es Salaam, kwa muda wa miaka sita. Alipofunguliwa alikwenda Denmark kama mkimbizi. Baada ya miaka mitano akawa raia wa Denmark. Alifanya kazi katika meli mbalimbali za Kideni na baadaye alifanya kazi kwa miaka 20 katika Shirika la Haki za Binadamu la Denmark. Hashil ni mshairi na mwandishi wa vitabu vya riwaya.

Specifiche di prodotto
Nome dell'attributoValore dell'attributo
BindingBrossura
LinguaSwahili
Anno di pubblicazione2019
Pagine118
Scrivi una recensione
  • Solo gli utenti registrati possono scrivere recensioni
*
*
Send us a message

Recensioni del prodotto
Solo gli utenti registrati possono scrivere recensioni